Mzozo kati ya wanyama pori na binadamu umekuwepo kwa muda sasa jambo lililowafanya wabunge kujadili swala hili na kupitisha mswada ambao utatoa suluhu. Baadhi ya mapendekezo yaliyopitishwa ni faini inayotozwa uwindaji haramu wa wanyama pori na fidia baada ya kushambuliwa na mnyama pori kama anavyotueleza Pheona Kengah.

Category:

Videos

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*