For more news visit http://www.ntv.co.ke
Follow us on Twitter http://www.twitter.com/ntvkenya
Like our FaceBook page http://www.facebook.com/NtvKenya

Vipawa vya usanii vinapogunduliwa mapema na kukuzwa hunufaisha mapema wahusika. Mmoja wao ni David Hermlin mzaliwa wa Ujerumani mwenye umri wa miaka kumi na miwili. Amenakili nyimbo nyingi na kanda za video na amepata mialiko mingi na hata amzuru hapa Kenya alikozaliwa mamake. Tupate mengi katika makala ya leo ya Msanii Na Sanaa.

Category:

Videos

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*