Rais Uhuru Kenyatta alijumuika na waombolezaji wengine kwa mazishi ya seneta wa Makueni Mutula Kilonzo yaliyofanyika nyumbani kwake huko mbooni katika kaunti ya Makueni. Viongozi mbalimbali waliohudhuria mazishi hayo walimmiminia sifa tele mwanasiasa huyo ambaye pia alikuwa ni mwanasheria wa kusifika.taarifa ifuatayo inaangazia jinsi mambo yalivyokuwa kwenye mazishi hayo

Watch KTN Streaming LIVE from Kenya 24/7 on http://www.ktnkenya.tv
Follow us on http://www.twitter.com/ktnkenya
Like us on http://www.facebook.com/ktnkenya

Category:

Videos

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

*